IMF waipongeza Tanzania kwa Uchumi wake kuhimili deni kwa 47% wakati Kenya wao ni 70 Rwanda ni 71

Watu wa Samia wakiongozwa na Nape walisema Magufuli kakopa sana tena mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa,leo imekuwaje tena
 
Ushauri mzuri sana lakini hongera sana kwa maarifa hayo makubwa
 
Rais hongera sana mama
 
Unasifiwa na IMF? basi nawewe unashangilia.
Huwezi kuendelea kwa kusifiwa na IMF.

IMF ni chombo cha mabwanyeye, kipo kwa malengo maalum kuhakikisha masikini wanaendele kuwa masikini na kuwafunga speed limit wale wote wanaokuja kwa Kasi.
 
Siwezi kuamini mpaka niione angalau jumuisho la ripoti ie executive summary.
 
Hongera
 
Hongera
 
Hongera sana mhe Rais
 
Waseme na Kila mwezi au mwaka wanalipa shilingi trilioni ngapi
Sio kutupa takwimu ili kutuaminisha kwamba tunaweza kukopesheka zaidi

Ilipaswa Hilo deni la taifa tulipe Hadi kufikia trilioni kumi ndio tuanze kukopa tena
Wewe unaelimu ya Uchumi?
 
Sisi Watanzania ni wabinafsi sana
 
KafulilA huwa namkubali sana huyu jamaa sijui Viongozi wengine kwanini hawapendi kuandika
 
Hongera mama Samia
 
Kazi nzuri sana Dkt Mwigulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…