IMF waipongeza Tanzania kwa Uchumi wake kuhimili deni kwa 47% wakati Kenya wao ni 70 Rwanda ni 71

Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.

Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.

Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.

Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.

View attachment 3179365
Watu wa Samia wakiongozwa na Nape walisema Magufuli kakopa sana tena mikopo ya kibiashara yenye riba kubwa,leo imekuwaje tena
 
Mkuu,

Soma review, soma kitabu, halafu rudi tujadiliane kwa muktadha wa habari zetu za Tanzania za "Mama anaupiga mwingi" na tunavyosherehekea maksi za IMF na kauli za "deni letu bado ni himilivu".

Mara nyingine nikisoma vitabu kama hivi nikija hapa JF naona kama kujadiliana habari za kitabu kama hiki na mtu ambaye hajakisoma inakuwa vigumu sana kuelewana.

Hususan ikiwa unajadiliana na mtu ambaye hata Kiingereza hajui na hivyo hata akitaka kusoma hawezi.
Ushauri mzuri sana lakini hongera sana kwa maarifa hayo makubwa
 
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.

Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.

Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.

Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.

View attachment 3179365
Rais hongera sana mama
 
Unasifiwa na IMF? basi nawewe unashangilia.
Huwezi kuendelea kwa kusifiwa na IMF.

IMF ni chombo cha mabwanyeye, kipo kwa malengo maalum kuhakikisha masikini wanaendele kuwa masikini na kuwafunga speed limit wale wote wanaokuja kwa Kasi.
 
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.

Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.

Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.

Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.

View attachment 3179365
Siwezi kuamini mpaka niione angalau jumuisho la ripoti ie executive summary.
 
Hongera
 
Hongera sana mhe Rais
 
Waseme na Kila mwezi au mwaka wanalipa shilingi trilioni ngapi
Sio kutupa takwimu ili kutuaminisha kwamba tunaweza kukopesheka zaidi

Ilipaswa Hilo deni la taifa tulipe Hadi kufikia trilioni kumi ndio tuanze kukopa tena
Wewe unaelimu ya Uchumi?
 
Ofcz kuna time huwa tunajidharau kuliko uhalisia.
Sijui chochote kuhusu hiyo taarifa kama ninkwel au lah lakini kuna mambo viongozi wetu wana pambana sana, sema tu wanapaswa na wanaweza kufanya zaid ya haya. Uwezo huo upo na tuna kila sababu ya kuwahimiz kwa kuwalaumu na kuonyesha haturidhishwi nao. Inawapa changamoto zaidi
Sisi Watanzania ni wabinafsi sana
 
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.

Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.

Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.

Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.

View attachment 3179365
KafulilA huwa namkubali sana huyu jamaa sijui Viongozi wengine kwanini hawapendi kuandika
 
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote.

Sasa, Ukiangalia vizuri data hizi za Bw David Kafulila sisi Tanzània tuko salama zaidi kiuchumi ukitulinganisha na majirani zetu.

Ukweli usiopingika ni kwamba juhudi zinazofanywa na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan mwangwi wake ni mkubwa karibu kila Kona ya duniani na wale tuliokuwa na mashaka juu ya ukopaji wetu kwa taarifa hii tutembee kifua mbele hali yetu ni nzuri na kama takwimu zinavyoonesha kwani sote tunafahamu namba siku zote hazidanganyi.

Namshukuru sana David Kafulila kwa kumsemea vema Rais Dkt Samia Suluhu na Serikali yake pamoja na Waziri wa fedha hasa wakati huu kuelekea 2025 kwani ni hakika tukiwa na mama Ushindi kwetu ni lazima kwa neema za mwenyezi Mungu.

View attachment 3179365
Hongera mama Samia
 
Kazi nzuri sana Dkt Mwigulu
 
Back
Top Bottom