Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeisifu Senegal kwa kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi wake kupitia mageuzi muhimu, pamoja na kushirikiana na IMF kufafanua na kurekebisha taarifa kuhusu kiwango halisi cha deni inachodaiwa. Kwa mujibu wa msemaji wa IMF, Julie Kozack, akimnukuu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Gita Gopinath, Senegal imeonyesha uwazi na uwajibikaji baada ya kubainika kuwa kulikuwa na utoaji wa taarifa zisizo sahihi kuhusu madeni ya nchi hiyo kwa wadai.
Mwaka 2024 IMF ilisitisha utoaji wa fedha kwa Senegal katika mpango wake wa usaidizi wa kifedha baada ya ukaguzi uliofanywa chini ya uongozi mpya wa Rais Bassirou Diomaye Faye kugundua kuwa serikali iliyopita ilipunguza makadirio ya nakisi ya bajeti, hali iliyosababisha kiwango cha deni kufikia asilimia 100 ya pato la taifa hadi mwisho wa mwaka 2023, tofauti na asilimia 74 iliyoripotiwa awali. IMF ilikuwa na mpango wa mkopo na Senegal kwa lengo la kufuatilia hali ya kifedha ya taifa hilo.
Wakati huohuo, IMF pia imeisifu Ghana kwa hatua inazochukua kuimarisha nidhamu ya kifedha kupitia bajeti yake ya mwaka 2025 iliyowasilishwa Alhamisi. Kozack amesema shirika hilo linapongeza hatua za marekebisho ikiwemo ukaguzi wa madeni yanayodaiwa (payables) kabla ya uchaguzi, pamoja na mabadiliko kwenye sheria za usimamizi wa fedha za umma na manunuzi. Aidha, Ghana imepitisha mkakati wa kushughulikia changamoto katika sekta ya nishati, huku mapitio ya bajeti ya mwaka huu yakiwa sambamba na malengo ya programu ya IMF
====
The IMF praised Senegal for acting to engage reforms to strengthen its economy, while also working with the IMF to clarify and amend it’s debt position after it uncovered misreporting of how much the African country owed creditors, Kozack said citing comments by the Fund’s First Deputy Managing Director Gita Gopinath.
The IMF, a key financier for the debt-laden country, froze disbursements on its program with Senegal last year after an audit under new President Bassirou Diomaye Faye found the previous administration had understated deficits, pushing its end-2023 debt ratio to roughly 100 per cent of GDP, versus the previously reported 74 per cent.
At the time, the IMF had a loan programme underway with Senegal to monitor the country's financial situation.
The IMF also praised efforts by Ghana to shore up its fiscal positions as it unveiled its budget proposals Thursday.
“With respect to the budget, here I can say, that, the IMF has welcomed the government's corrective actions, including a strong 2025 budget and an audit of payables to quantify and address the pre-election fiscal slippages. The authorities have recently implemented changes to their public financial management and public procurement acts. And this helps improve the overall fiscal responsibility framework in Ghana. And the authorities have also adopted a strategy to address issues in the energy sector. I can add that the mid-year budget, review is fully in line with parameters and objectives of the IMF, supported program,” said Kozack
Source: Africa news