J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 29, 2021 #1 Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona. Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na Corona ikiwemo utalii. Chanzo: ITV habari
Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona. Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na Corona ikiwemo utalii. Chanzo: ITV habari
V Vyura99tu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 1,766 Reaction score 1,868 Jun 29, 2021 #2 Sawa ila Katiba Katiba ndio la kwanza halafu Vaccine (chanjo) ije.
Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 Jun 29, 2021 #3 Ni kweli nchi imeathirika na madhara ya Covid but hizo pesa ni za mkopo au msaada? Tuanzie hapo kwanza
Ni kweli nchi imeathirika na madhara ya Covid but hizo pesa ni za mkopo au msaada? Tuanzie hapo kwanza
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 29, 2021 Thread starter #4 Opportunity Cost said: Ni kweli nchi imeathirika na madhara ya Covid but hizo pesa ni za mkopo au msaada? Tuanzie hapo kwanza Click to expand... Msaada
Opportunity Cost said: Ni kweli nchi imeathirika na madhara ya Covid but hizo pesa ni za mkopo au msaada? Tuanzie hapo kwanza Click to expand... Msaada
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,356 Reaction score 38,922 Jun 29, 2021 #5 Magufuli alikuwa anaogopa sana kukutana na wajumbe wa mashirika ya kimataifa kama IMF na World Bank
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 4,942 Reaction score 20,077 Jun 29, 2021 #6 Watatoa misaada michache ila kiasi kikubwa zaidi ya Trilioni moja watatoa mkopo wa masharti nafuu wenye grace period ya miaka 10 na riba ya 0%.
Watatoa misaada michache ila kiasi kikubwa zaidi ya Trilioni moja watatoa mkopo wa masharti nafuu wenye grace period ya miaka 10 na riba ya 0%.
Isayalussy11 JF-Expert Member Joined Mar 8, 2019 Posts 695 Reaction score 1,058 Jun 30, 2021 #7 Waterloo said: Magufuli alikuwa anaogopa sana kukutana na wajumbe wa mashirika ya kimataifa kama IMF na World Bank Click to expand... Unataka kusema hakuwahi kukutana nao? Acha upopoma wewe!
Waterloo said: Magufuli alikuwa anaogopa sana kukutana na wajumbe wa mashirika ya kimataifa kama IMF na World Bank Click to expand... Unataka kusema hakuwahi kukutana nao? Acha upopoma wewe!
Clemence Mwandambo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2018 Posts 1,378 Reaction score 1,427 Jun 30, 2021 #8 Good move, na ninafurahi kusikia wamemfuata Dodoma mji wetu mkuu. Am a patriot.