IMF yatoa onyo kwa Kenya, huenda ikalemewa na madeni

Naona apo mwisho una tafuta pa kutokea ..

sijui itakuaje
Siyo pa kutokea bali hao jamaa, sijui kama wanafikiria mbele

Wana mafuriko
Nzige
Corona

Alafu wanataka kufunga njia ambayo chakula huwa kinapita.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu yamemnyima Magu $190mil,so ukweli ni kwamba hata yeye anatamani mkopo wa mabeberu ila shida ni kwamba wamemnyima mpunga.
Hiyo $190milion aliomba kwa ajili ya nini.

Unajua tusitetee ujinga kisa humpendi Magufuli.

Yeye alishauri IMF ifute madeni kwa nchi zinzoendelea ili zile hela za marejesho zitumike kubust uchumi na kupambana na corona, hili hata mgombea urais wa Democratic ameshauri hivyo pia!

Kama walimnyima hizo bora maana wamempumguzia mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliomba mpunga wa kupambama na Covid,kumbe hela mabeberu ni tamu eeh?
 
Achana na mambo ya kenya mpuuzi wew. Badala ya kufikiri namna nzur ya kupambana kwenye hii uncertain health and economic situations mnaleta propaganda za kitoto dhidi ya taifa lingine.Hapo lumumba kuna vijana wa hovyo sana....ni upuuzi mtupu kila muda mbowe mmesahau adui yetu kwa ss ni corona.
 
Na 1KSH <===>1Japanese Yen,
kwa hiyo utajiri wa Japan ni sawa na utajiri wa Kenya?!!
... naona unataka kubishana na yaliyo wazi; inafahamika duniani kote uchumi wa Kenya ndio uchumi bora na imara EA. Hilo nalo unataka ushahidi?
 
Hivi we kibwengu unafikiri wanaokopesha hawajui tupo kwenye kipindi gani.Kwa taarifa yako rwanda na kenya ni moja ya nchi zilizosamehewa kulipa madeni kwa kipindi hiki.sis tuendelee na upuuzi wetu wa kufanya siasa za kilaghai tukifikiri corona ipo tanzania ni tofaauti na ya wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…