IMF yatoa onyo kwa Kenya, huenda ikalemewa na madeni

IMF yatoa onyo kwa Kenya, huenda ikalemewa na madeni

Achana na mambo ya kenya mpuuzi wew. Badala ya kufikiri namna nzur ya kupambana kwenye hii uncertain health and economic situations mnaleta propaganda za kitoto dhidi ya taifa lingine.Hapo lumumba kuna vijana wa hovyo sana....ni upuuzi mtupu kila muda mbowe mmesahau adui yetu kwa ss ni corona.
Naona baada ya kula kiporo kwa Mbowe sasa umekuja kucheua huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi we kibwengu unafikiri wanaokopesha hawajui tupo kwenye kipindi gani.Kwa taarifa yako rwanda na kenya ni moja ya nchi zilizosamehewa kulipa madeni kwa kipindi hiki.sis tuendelee na upuuzi wetu wa kufanya siasa za kilaghai tukifikiri corona ipo tanzania ni tofaauti na ya wenzetu.
Umeshapanic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumalize kwanza la' Exchange rate" ambayo uliitumia kuonyesha kwamba Kenya ni Taifa kubwa. Umegundua kwamba hujui unalozungumza?

Sent using Jamii Forums mobile app
... exchange rate ulikuwa mfano mdogo tu wa kuanzia katika mingi kuonesha "ufalme" wa Kenya kiuchumi EA. Kwa hiyo unataka kubisha kwamba Kenya hawajawazidi au?
 
... dunia nzima inafahamu uchumi wa Kenya ndio uchumi mkubwa na imara EA; hilo nalo unataka ushahidi?
Screenshot_20200511-194241.png
Screenshot_20200413-130116.png
 
... exchange rate ulikuwa mfano mdogo tu wa kuanzia katika mingi kuonesha "ufalme" wa Kenya kiuchumi EA. Kwa hiyo unataka kubisha kwamba Kenya hawajawazidi au?
Kutumia Exchange rate, maana yake Zambia ndio Taifa kubwa katika ukanda wote huu, ikifuatiwa na Ethiopia. Tunakubaliana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... IMF kuionya Kenya haina maana Tanzania iko pazuri. Kama uchumi wa taifa kubwa kama Kenya ukidorora wa Tanzania utakuwa mahututi bin taabani! By the way IMF si mabeberu? Tangu lini umeanza kuyaamini mabeberu? Au kwa kuwa wametamka kile ambacho sikio lako linafura kukisikia?
Ipo tofauti ndogo kati ya I.M.F na mabeberu(imperialists)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... IMF kuionya Kenya haina maana Tanzania iko pazuri. Kama uchumi wa taifa kubwa kama Kenya ukidorora wa Tanzania utakuwa mahututi bin taabani! By the way IMF si mabeberu? Tangu lini umeanza kuyaamini mabeberu? Au kwa kuwa wametamka kile ambacho sikio lako linafura kukisikia?

Ninyi mmefungia watu, Tanzania haijafanya hivyo.
Na ninavyojua ni kwamba hizo $ 700m wameshakula wajanja maana kwa ufisad hawajambo, na mara nyingi huwa mnatafuta wakati mzuri wa kupiga pesa ambao kwenu nina imani mnatumia hii COVID-19 pandemic
Na deni linaonhezeka kila kukicha
 
Back
Top Bottom