IMF yatoa onyo kwa Kenya, huenda ikalemewa na madeni

Naona baada ya kula kiporo kwa Mbowe sasa umekuja kucheua huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... naona unataka kubishana na yaliyo wazi; inafahamika duniani kote uchumi wa Kenya ndio uchumi bora na imara EA. Hilo nalo unataka ushahidi?
Na dunia nzima inafahamu Kenya inaweza kuuzwa kwa sababu ya madeni hapa EA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshapanic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumalize kwanza la' Exchange rate" ambayo uliitumia kuonyesha kwamba Kenya ni Taifa kubwa. Umegundua kwamba hujui unalozungumza?

Sent using Jamii Forums mobile app
... exchange rate ulikuwa mfano mdogo tu wa kuanzia katika mingi kuonesha "ufalme" wa Kenya kiuchumi EA. Kwa hiyo unataka kubisha kwamba Kenya hawajawazidi au?
 
... exchange rate ulikuwa mfano mdogo tu wa kuanzia katika mingi kuonesha "ufalme" wa Kenya kiuchumi EA. Kwa hiyo unataka kubisha kwamba Kenya hawajawazidi au?
Kutumia Exchange rate, maana yake Zambia ndio Taifa kubwa katika ukanda wote huu, ikifuatiwa na Ethiopia. Tunakubaliana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo tofauti ndogo kati ya I.M.F na mabeberu(imperialists)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ninyi mmefungia watu, Tanzania haijafanya hivyo.
Na ninavyojua ni kwamba hizo $ 700m wameshakula wajanja maana kwa ufisad hawajambo, na mara nyingi huwa mnatafuta wakati mzuri wa kupiga pesa ambao kwenu nina imani mnatumia hii COVID-19 pandemic
Na deni linaonhezeka kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…