IMF yatoa taarifa ya nchi 10 zinazoongoza kwa Madeni makubwa barani Africa Kenya yashika nafasi ya pili Tanzania ya Samia haipo kwenye orodha

Kwa kasi yetu ya kukopa ya sasa na maneno ya ki Mwigulu ya "madeni yanahimilika" tutafika tu huko kabla ya muda mrefu.

Halafu kitu muhimu si ukubwa wa deni, kitu muhimu ni deni kama sehemu ya GDP.
 
 
Tanzania ni nchi ya Watanzania si nchi ya Samia.Punguza upumbavu na upuuzi.
 
Hizi habari za kimagumashi! Hiyo figure ni kwa minajili ya hela hipi? USD? POUND? EURO? KWACHA? Shillings?
 
Chawaland wanakopa toka China na kwinigine kwenye kutia shaka kichinichini. Nao wangetamani wawe kwenye orodha hii kama wangekuwa wanakopesheka na wana cha kuzifanyia hizo dolari.
 
Unataka kutuambia Samia anafaa?
 
Hayo ni madeni ya IMF tu weka overall list

 
Mama Abdul kahonga ili Tanzania isitajwe kwenye orodha ya Nchi zenye deni kubwa.ukweli Tz inadeni kubwa sana kuzidi Nchi za afrika mashariki zote
Nilicho soma kwa kiingereza chetu ni Deni tulilokopeshwa na "ifm", hivyo madeni kama tumekopa stanbic, Barca, afdb, hayamo
 
bhakresa ana daiwa 1bn wewe unadaiwa songesha ya buku unasema ona mie niko poa sana, akili matope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…