Bado huelewi hiyo "main point" ni nini hasa!Out of main point, ndiyo maana huwa nasema chadema ni wepesi sana, and useless, sipo chama chochote, lakini acha CCM iendelee tu, mpaka tutakapoona au watokee wenye akili ndani ya chama kingine!
Unatumia tu maneno yasiyo leta maana ya unacho lenga kukieleza.