IMF yatoa taarifa ya nchi 10 zinazoongoza kwa Madeni makubwa barani Africa Kenya yashika nafasi ya pili Tanzania ya Samia haipo kwenye orodha

Nilicho soma kwa kiingereza chetu ni Deni tulilokopeshwa na "ifm", hivyo madeni kama tumekopa stanbic, Barca, afdb, hayamo
Hata deni langu halimo mimi kama mfanyabiashara ninayeidai serikali.
 
Masikini hakopesheki.............
Kaeni kwa kutulia,,,,
 
Unaona sasa, mama, kalete hela, bado tunakopesheka
 
Ni watu wanaojitekenya na kucheka wenyewe.

Mikopo ya IMF aipatikani kirahisi kwa nchi maskini ina riba kubwa zaidi. Ndio maana ata kwenye hiyo list wanao ongoza ni wenye uchumi mkubwa Africa pia.

Waambie waletę list ya nchi zenye madeni makubwa duniani (sio Africa) kutoka kwenye data za Word-Bank/IDA uone kama Tanzania haimo kwenye top ten duniani.
 
Tanzania ni nchi ya Watanzania si nchi ya Samia.Punguza upumbavu na upuuzi.
🤣🤣🤣🤣🤣
Naona haters wa mama Samia wanakaribia kurusha ngumi Sasa......mara nyingi ndivyo inavyokuwa pale unayemkimbiza anapozidi kukuacha hatua tu.
 
Nani analipa madeni
Samia anachangia Tshs ngapi ktk kulipa madeni?

Usijisifie upumbavu wakati deni la Taifa linakaribia trilion 100
 
KILA WAKATI NIMEKUWA NIKIHUBIRI HAPA TANZANIA HATA KATIKA NCHI 20 ZINAZODAIWA AFRIKA HAIPO, WATU WABISHI, KU GOOGLE HAWATAKI, KUFANYA RESEACH MBALI MBALI HAWATAKI, YAMENGANGANA (nchi itauzwa hii)
-Labda tuanze sasa kukopa!
Tukope na tujenge miradi ambayo, haita hitaji ukarabati kwa miaka 30+,mfano, barabara za concrete! Ukijenga umemaliza, ije mvua ije kimbunga!
N. B, USIKOPE MKOPO AMBAO NDANI YA MUDA MFUPI UTAANZA KUKUGHARIMU FEDHA ZA SERVICE NEVER DO THAT SHITS!,
 
Naona CCM imeanza kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji kwa kishindo!
Vipi hayo ni madeni mbali na deni la Taifa?
 
Naona CCM imeanza kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji kwa kishindo!
Vipi hayo ni madeni mbali na deni la Taifa?
Hivi "Hafidhi" mwenyewe ulisha mwona!
Weka picha yake nasi tuione, basi!
Out of main point, ndiyo maana huwa nasema chadema ni wepesi sana, and useless, sipo chama chochote, lakini acha CCM iendelee tu, mpaka tutakapoona au watokee wenye akili ndani ya chama kingine!
 



Ni watu wakujitekenya na kucheka wenyewe tu, nchi Ina madeni balaa. IMF haitoi hela kirahisi kwa nchi maskini kuna proper risk assessment inafanyika.

Ukitaka kuona ukubwa wa deni la Tanzania tafuta data za WB ni wadaiwa wakubwa kwa nchi maskini sio Africa tu, bali duniani tupo kwenye top ten.
 
Alhamdulilah nimetembea nchi mbalimbali, Jana nimeshuhudia kitu cha ajabu sana, mwenyekiti wa kata fulani ndani ya Wilaya ya ilala, anapita na kipaza sauti, akiwataka vijana walemavu na kinamama kwenye kuchukuwa fedha za ten %, za halmashauri, yaani anawaomba waende katika ofisi za Kata, nikasema je huu ni upendo wa aina gani kwa serekali hii kwa watu wake, nenda Kenya, Uganda Rwanda, msumbiji, Marekani, Uingereza, uone kama kuna kuna upendo wa aina hii, tumelala sana, na wavivu wa kufikiri na uvivu huu ndiyo uleule unaokuja kusababisha xenophobia kama S. A.
 
Mkuu kwa hiyo Ndugai Supika mstaafu alikuwa anasema Uongo?
Supika ni wa chama gani CCM au CHADEMA?
 

Attachments

  • Chaz Lee - Who is this guy_ ----(SD).mp4
    1.8 MB
Let me dig up!
Nakataa kuwa karibu na kenya, Kenya ipo juu mno na inadaiwa kweli siyo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…