Immanuel Sananda ni nani?

Immanuel Sananda ni nani?

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naomba Kwa wenye uelewa hivi Immanuel Sananda ni nani?
Na ana uhusiano gani na kanisa Catholic?
 
Immaneul Esu" Sananda" ni Yesu wa Biblia, Nyaraka za ukweli huo ziliginduliwa na Padiri wa kigirki wa kanisa katoliki mwaka 1963, ni yesu wa imani tu kwa imani ya kikatolic, "Mwana wa Mungu" au ni Mwana ndani ya bwana na yupo pamoja nae, Immanuel wagiriki wakamwita jina hilo kwa imani ya kanisa kikatolic la zamani na ni Mwenye nguvu za asili sio zile za vitambaa vyeupe za bwana wale
 
Mbona hapo hapo wanamhusisha na Freemasons?
 
Back
Top Bottom