MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Baada ya kuruka ruka kwa miaka mingi bila mafanikio,hatimaye mkali wa mapenzi nchini amempata mtu wa kuzeekea naye,mama huyo ameamua kutua kwa nguli la michezo nchini kutoka redio ya mawingu,awali mama huyo na Mbwiga walionekana kwenye viwanja kazaa yalipokuwa yakifanyika mashindano ya ndondo,ambapo mara kadhaa mama huyo alishindwa kuzuia hisia zake nakujikuta akimkiss Mbwiga kila dakika.
Vyombo vyetu vya habari vilipomtafuta Mbwiga kuelezea suala hilo kama kawaida yake alikuwa na maneno mengi ya kuongea "yeah mtoto katua kwa mzaramo halisi hapa,yaani ni kama kuala lumpa malaysia,yaani kama vile napiga lkn nadeshi au kama natema kulia halafu nafukia kushoto,si unajua watoto wa mjini tuna njaa kama watoto wa boko,hapa ni mwendo wa kumpa na kumpa tena,chini ya udhamini wabinsulum tires"
Habari kutoka mawingu zinasema wawili hao wako kwenye mipango ya awali kabisa ya ndoa yao.