Tetesi: Imoooo! Diva atua rasmi kwa Mbwiga Mbwiguke, mahaba hadharani

Tetesi: Imoooo! Diva atua rasmi kwa Mbwiga Mbwiguke, mahaba hadharani

we tubanie tu
1473324079786.jpg

Huyo hapo sasa
 
Weka picha zao wengine hatuwafahamu vizuri
 
So diva anaimba ***Mahaba niue ......oooh baby why sijakuona mapema**
 
diva na mbwiga uuwwii na kujickia kote kule mtoto wa kike ndio kaishia pale

Yan ni sawa na mfano alioutoaga member moja "kwenda porini kuwinda tembo halafu unaishia kutoka na panya"
 
Back
Top Bottom