Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Sindo hapo sasa, Yani team ina neymar na mbape alafu iwe na followers 19ml huo si utani wa ngumi, sijajua kipi kipo nyuma ya pazia juu ya kuzusha hizi taarifa na zinazagaa Kweli kweliHilo la uzushi linawezekana,kwasababu Neymar yupo pale haiwezekani psg wakawa na followers 8mil tu,Adidas wanajaribu kupika hizi vitu kumchanganya Nike...
Kabla ya Cristiano Ronaldo kujiunga na Juventus, Juventus walikuwa na followers Milioni 9 tu,
Ndani ya mwaka mmoja baada ya Cristiano kujiunga Juventus wakawa na followers milioni 31, kwasasa Juve wana followers zaidi ya milioni 50!
Kabla ya Messi kujiunga Paris Saint German (PSG) walikuwa na followers Milioni 19 Instagram ndani ya siku moja baada ya Messi kujiunga wana followers Milioni 42, Ongezeko la followers Milioni 23 kwa siku moja!
Wewe acha hizoMkuu Kwa Ronaldo hizo statistics ni sahihi Ila Kwa Messi hapana kuna uzushi unavuma kuwa kabla ya Messi kwenda psg eti walikuwa na followers 19m huo ni uongo mkuu
Kwa ambao tunafatiliaga hizi page za hivi vilabu tunajua, huu mwezi wa 8 tu ata kabla issue za Messi kukolea psg walikuwa na followers 37m kwahiyo hizo habari sio za Kweli japokuwa Messi kweli kaongeza number Ila Hadi sasa kaongeza kama 3-4m
Niache zipi mkuu? Umeelewea ata hiyo graph inaelezea nini nasie tulikuwa tunaongelea nini? Mleta mada anasema kabla ya Messi kwenda psg ilikuwa na followers 19m haya angalia hapo kwenye graph wanasema wameongezeka followers 5+ tangu ajiunge psg au mwenzangu umeibebelea Tu ila hujaisoma graph yakoWewe acha hizoView attachment 1888627