Impact ya Mesi na Ronaldo kwenye Team walizotoka

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Kabla ya Cristiano Ronaldo kujiunga na Juventus, Juventus walikuwa na followers Milioni 9 tu,

Ndani ya mwaka mmoja baada ya Cristiano kujiunga Juventus wakawa na followers milioni 31, kwasasa Juve wana followers zaidi ya milioni 50!

Kabla ya Messi kujiunga Paris Saint German (PSG) walikuwa na followers Milioni 19 Instagram ndani ya siku moja baada ya Messi kujiunga wana followers Milioni 42, Ongezeko la followers Milioni 23 kwa siku moja!
 
Mkuu Kwa Ronaldo hizo statistics ni sahihi Ila Kwa Messi hapana kuna uzushi unavuma kuwa kabla ya Messi kwenda psg eti walikuwa na followers 19m huo ni uongo mkuu

Kwa ambao tunafatiliaga hizi page za hivi vilabu tunajua, huu mwezi wa 8 tu ata kabla issue za Messi kukolea psg walikuwa na followers 37m kwahiyo hizo habari sio za Kweli japokuwa Messi kweli kaongeza number Ila Hadi sasa kaongeza kama 3-4m
 
Simba Sports Club tukiwa na Fan base ya watu 30m tu basi Mo atakuwa na wakati mgumu sana
Nalog off
 
Hilo la uzushi linawezekana,kwasababu Neymar yupo pale haiwezekani psg wakawa na followers 8mil tu,Adidas wanajaribu kupika hizi vitu kumchanganya Nike...
 
Sindo hapo sasa, Yani team ina neymar na mbape alafu iwe na followers 19ml huo si utani wa ngumi, sijajua kipi kipo nyuma ya pazia juu ya kuzusha hizi taarifa na zinazagaa Kweli kweli
 
Acha urongo, kabla ya Messi PSG ilikuwa na 39 Million
Kabla ya Cristiano Ronaldo kujiunga na Juventus, Juventus walikuwa na followers Milioni 9 tu,

Ndani ya mwaka mmoja baada ya Cristiano kujiunga Juventus wakawa na followers milioni 31, kwasasa Juve wana followers zaidi ya milioni 50!

Kabla ya Messi kujiunga Paris Saint German (PSG) walikuwa na followers Milioni 19 Instagram ndani ya siku moja baada ya Messi kujiunga wana followers Milioni 42, Ongezeko la followers Milioni 23 kwa siku moja!
 
hao followers wa Insta wanafaida gani kwa club husika? Ronaldo ameshindwa kuipa Juventus walichomsajilia impact yake hapo ndipo ilipotaakiwa sio kwenye Insta
 
Mkuu Kwa Ronaldo hizo statistics ni sahihi Ila Kwa Messi hapana kuna uzushi unavuma kuwa kabla ya Messi kwenda psg eti walikuwa na followers 19m huo ni uongo mkuu

Kwa ambao tunafatiliaga hizi page za hivi vilabu tunajua, huu mwezi wa 8 tu ata kabla issue za Messi kukolea psg walikuwa na followers 37m kwahiyo hizo habari sio za Kweli japokuwa Messi kweli kaongeza number Ila Hadi sasa kaongeza kama 3-4m
Wewe acha hizo
globalpublishers_1628695181673481.jpg
 
Niache zipi mkuu? Umeelewea ata hiyo graph inaelezea nini nasie tulikuwa tunaongelea nini? Mleta mada anasema kabla ya Messi kwenda psg ilikuwa na followers 19m haya angalia hapo kwenye graph wanasema wameongezeka followers 5+ tangu ajiunge psg au mwenzangu umeibebelea Tu ila hujaisoma graph yako
 
Kabla manara hajaja Simba tulikuwa na followers 70k wakaongezeka mpaka 10.5mil ila baada ya manara kuondoka tumepungua mpaka 2.7mil
 
Back
Top Bottom