IMPALA Beer: Msumbiji wazalisha beer ya mihogo

Asante

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Posts
2,086
Reaction score
1,081


Msumbiji wameanza kuzalisha kinywaji cha Impala beer kwa kutumia mihogo. Hadi sasa Impala ndicho kinywaji kinacho pendwa na wananchi wengi kwani watu wenye kipato cha chini wanamudu bei yake, na kwa sasa Impala inashika nafasi ya tatu kwa idadi ya wateja.

Kilimo cha mihogo kwa sasa kimeingia kwenye kundi la kilimo cha biashara na wananchi wengi wameingia kwenye kilimo cha mihogo kwani soko la uhakika lipo.


 
muhogo hauwezi kutengenezea bia, labda spirit!
 
DUUU IFIKE MAHALI TUTENGENEZE JUICE YA MIHOGO KAMA MAEMBE NA MACHUNGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…