Impeachment iliyofanyika Kenya jana ilitakiwa iwe imeshafanyika nchi fulani

Cruel conman

Member
Joined
Jan 29, 2024
Posts
34
Reaction score
118
Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii,

1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba

2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo na akina Junet na wenzake ndio wabunge wa bunge la nchi hiyo

3. Hatimaye asubuhi ikafika nikaamka usingizini.
 
katiba yao mbovu inawasulubisha wao wenyewe...

watu wanaalikwa kwenye public participation ya kumbandua naibu wa Rais, eti watu wanachant Ruto Must go 🤣
Hiyo ni useless 🐒
 
Mwenye masikio na Asikie, mwenye macho na aone! Katiba mpya ni muhimu,hizi chenga za kuchelewesha mchakato ni hofu Yao wenye fursa Sasa hawataki kupotezwa nafasi zao kwa masilahi Yao na familia zao . Mfano mgombea huru,wanaliogopa sana, maana kuna watu wanakubalika sana bila rushwa,nikwemo Mimi!
 
Huku kiongozi mkuu nasema kifo kama kile ni kitu cha kawaida eti "kifo ni kifo tu"
Yaan hii Avatar nimeiona zamani ikisapoti vitu visivyojulikana na vya uchochezi. Na bado inaendelea na uchochezi. Miaka hiyo niliona ikiandika, CCM kumfia Kikwete. Nilishituka sana. Nikafikiri ni kweli. Kumbe ni upuuzi tu.

Mara nikaona inasaporti kuwa Lowasa ni fisadi kweli. Lakin baadae nikaona inasapoti Lowasa ndio mgombea na Rais wa Tanzania. Nikaona tena ni upuuzi.

Juzi juzi nimeiona inasapoti maneno ya Lissu ya uongo kuwa Makonda alishiriki kutaka kumuua.Badala aongelea kwann maandamano yamefaili.

Hakika nimeelewa upinzani bongo ni mihemko na uigizaji kama kaore group.
 
Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii,

1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba

2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo na akina Junet na wenzake ndio wabunge wa bunge la nchi hiyo

3. Hatimaye asubuhi ikafika nikaamka usingizini.
Demokrasia ni adui wa maendeleo ya kweli ya afrika, watu wanakesha kuota siasa badala ya kuota namna wanavyoweza kuendelea kuingiza bidhaa zetu wenyewe kwenye soko la kimataifa.

Labda zipo demokrasia halisi mahali fulani duniani, lakini hii iliyopo afrika ni ya kichina.
 
kwamba Nov 27 inafika,
wananchi badala ya kuamka kwenda kupiga kura, waanze makele ya No katiba No uchaguzi 🤣
Kuangukia pua chama lako!na kushikana mashati wagombea wa Chama lako! Ubwabwa mtakula safari hii na mjomba wako Mwashambwa!
 
Demokrasia ni adui wa maendeleo ya kweli ya afrika, watu wanakesha kuota siasa badala ya kuota namna wanavyoweza kuendelea kuingiza bidhaa zetu wenyewe kwenye soko la kimataifa.

Labda zipo demokrasia halisi mahali fulani duniani, lakini hii iliyopo afrika ni ya kichina.
Tutafikatuu,Hata mbuyu Ukianza kama haradali
 
Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii,

1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba

2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo na akina Junet na wenzake ndio wabunge wa bunge la nchi hiyo

3. Hatimaye asubuhi ikafika nikaamka usingizini.
Kuna jambo hujafahamu subiri mchakato ukamilike kwa 100%
 
Back
Top Bottom