Cruel conman
Member
- Jan 29, 2024
- 34
- 118
Tutafika tuu, hamna namna wanaona na wao!
katiba yao mbovu inawasulubisha wao wenyewe...Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii,
1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba
2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo na akina Junet na wenzake ndio wabunge wa bunge la nchi hiyo
3. Hatimaye asubuhi ikafika nikaamka usingizini.
DramaHuku kiongozi mkuu nasema "kifo ni kitu cha kawaida"
Halafu Rais WA Nchi anajibu ' Kifo ni Kifo tu'😭😭😭
Yajayo yatakuchukiza🐈katiba yao mbovu inawasulubisha wao wenyewe...
watu wanaalikwa kwenye public participation ya kumbandua naibu wa Rais, eti watu wanachant Ruto Must go 🤣
Hiyo ni useless 🐒
Kama kifo ni kifo tu, huyu aliyesema hivyo kwa watu wanaouwawa anapaswa afe yeye kisha nasi tuseme kifo ni kifo tu, hata Rais amekufa....!Huku kiongozi mkuu nasema kifo kama kile ni kitu cha kawaida eti "kifo ni kifo tu"
Naomba nisim cc Filipo Mpango maana kuna komenti nyingine ni kutafutiana kesi tu mazee...😂Kama kifo ni kifo tu, huyu akiyesema hivyo anapaswa afe yeye...
Yaan hii Avatar nimeiona zamani ikisapoti vitu visivyojulikana na vya uchochezi. Na bado inaendelea na uchochezi. Miaka hiyo niliona ikiandika, CCM kumfia Kikwete. Nilishituka sana. Nikafikiri ni kweli. Kumbe ni upuuzi tu.Huku kiongozi mkuu nasema kifo kama kile ni kitu cha kawaida eti "kifo ni kifo tu"
kwamba Nov 27 inafika,Yajayo yatakuchukiza🐈
Demokrasia ni adui wa maendeleo ya kweli ya afrika, watu wanakesha kuota siasa badala ya kuota namna wanavyoweza kuendelea kuingiza bidhaa zetu wenyewe kwenye soko la kimataifa.Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii,
1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba
2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo na akina Junet na wenzake ndio wabunge wa bunge la nchi hiyo
3. Hatimaye asubuhi ikafika nikaamka usingizini.
Kuangukia pua chama lako!na kushikana mashati wagombea wa Chama lako! Ubwabwa mtakula safari hii na mjomba wako Mwashambwa!kwamba Nov 27 inafika,
wananchi badala ya kuamka kwenda kupiga kura, waanze makele ya No katiba No uchaguzi 🤣
Tutafikatuu,Hata mbuyu Ukianza kama haradaliDemokrasia ni adui wa maendeleo ya kweli ya afrika, watu wanakesha kuota siasa badala ya kuota namna wanavyoweza kuendelea kuingiza bidhaa zetu wenyewe kwenye soko la kimataifa.
Labda zipo demokrasia halisi mahali fulani duniani, lakini hii iliyopo afrika ni ya kichina.
Kuna jambo hujafahamu subiri mchakato ukamilike kwa 100%Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii,