Impeachment iliyofanyika Kenya jana ilitakiwa iwe imeshafanyika nchi fulani

Kuangukia pua chama lako!na kushikana mashati wagombea wa Chama lako! Ubwabwa mtakula safari hii na mjomba wako Mwashambwa!
Let me confirm to you without fear of contradictions,

Gentleman,
kwa uchawi, ramli chonganishi, kutoa kafara na kuchukuana misukule huwezi pata uongozi ng'o karne hii ya sayansi na teknologia..

hala hakuna muujiza kwenye hilo.
huna sera nzuri, huna mipango mikakati miziri, si mgombea makini na unae kubalika, kazi unalalamika tu, nani atakuchagua unadhani? 🤣

haya mambo ni kujipanga vizuri tu gentleman, kwa hekima na busara mtangulize Mungu bila manung'uniko na hatimae Neema na Baraka za Mungu zinakuwezesha kua kiongozi ndani ya jamii mahalia 🐒
 
Huku kiongozi mkuu nasema kifo kama kile ni kitu cha kawaida eti "kifo ni kifo tu"
Mikuu; nadhani umeisoma katiba ya JMT na nadhani pia, kwa mchango wako huu, unaijua katiba ya Kenya.

Unaona kuna uwezekano wa impeachment hapo? Au ndo ni kutoa mchango tu?
 
Kwani ni uongo ???Makonda na Magufuri walitaka kumpoteza Tundu Lissu ili nchi hii iongozwe na familia zao tu.
 
Yako ndio boraa?
sio bora tu gentleman,

bali pia ni nzuri na ya kuvutia sana kwa mataifa ya ulimwengu kuja kujifunza na kuchota maarifa, uzoefu ili hatimae wainjoy matunda muhimu kama vile Amani inayotokana na uzuri wa katiba na mfumo mzuri wa uongozi🐒
 
Mfumo wa Zanzibar kuitawala Tanganyika.
 
Kwani ni uongo ???Makonda na Magufuri walitaka kumpoteza Tundu Lissu ili nchi hii iongozwe na familia zao tu.
Ni uongo kabisa. Toka CDM waende mwembe Yanga na kusema kuwa Lowasa ni fisadi na akaja kuwa mgombea urais wa CDM naona kama ni wahuni tu na wazushi. Kadiri muda unavyoenda wanazid kudharaulika.
 
sio bora tu gentleman,

bali pia ni nzuri na ya kuvutia sana kwa mataifa ya ulimwengu kuja kujifunza na kuchota maarifa, uzoefu ili hatimae wainjoy matunda muhimu kama vile Amani inayotokana na uzuri wa katiba na mfumo mzuri wa uongozi🐒
Watakao kuja ni mateja pekee hata wale wa colombia huta waona au wale wa mexico.
 
Lenye mwanzo lina mwisho, freedom is coming tomorrow.
 
Kwa hiyo ulitaka jaribio la kuua lifanyike kwako ili uamini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…