Impeachment imemfanya Gachagua kuwa Maarufu mara dufu!

Zakayo ni tapeli, anaandaa mpango muswada upelekwe bungeni ili kuongeza muda wa term ya urais kutoka 5 iwe 7. nachelea huku wanaweza kucopy na kupaste.
unamsingizia gentleman,
ilikua ni maoni ya mbunge Fulani moja tu but yeye mwenyewe alishasema hawezi kua na mpango kama huo wa kubadilisha kipengele cha term ya miaka mi5 had 7πŸ’
 
MUNGU MWENYEZI amsaidie ashinde mimi kama mwana maombi nasmama naye
 

Attachments

  • IMG_20240929_100516_1.jpg
    1.5 MB · Views: 2
  • IMG_20240929_100502_2.jpg
    1.5 MB · Views: 1
  • IMG_20240929_100431_4.jpg
    1.4 MB · Views: 1

Attachments

  • IMG_20240929_065255_7.jpg
    1.4 MB · Views: 1
  • IMG_20240929_065349_3.jpg
    1.6 MB · Views: 1
  • IMG_20240929_065408_9.jpg
    1.3 MB · Views: 2
Akiwa impeached ndio bas tena katika kujihusisha na siasa..

But pia akiwa impeached Lazima atakamatwa mara moja na kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma zilizosabababisha kubanduliwa kwake...

Nadhani atajiuzulu na kisha kukimbilia uhamishoni πŸ’
Kosa lake kubwa ni lipi ? Sijafuatilia kabisaa
 
Kosa lake kubwa ni lipi ? Sijafuatilia kabisaa
ana tuhuma 9 nzito ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya ofisi ya Naibu RAIS, ufisadi, ukabila, uchochezi na kumtisha boss wake na watumishi wa umma kwa uchache πŸ’
 
Maiti za CCM hizi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…