Impeachment imemfanya Gachagua kuwa Maarufu mara dufu!

Impeachment imemfanya Gachagua kuwa Maarufu mara dufu!

Zakayo ni tapeli, anaandaa mpango muswada upelekwe bungeni ili kuongeza muda wa term ya urais kutoka 5 iwe 7. nachelea huku wanaweza kucopy na kupaste.
unamsingizia gentleman,
ilikua ni maoni ya mbunge Fulani moja tu but yeye mwenyewe alishasema hawezi kua na mpango kama huo wa kubadilisha kipengele cha term ya miaka mi5 had 7🐒
 
Kama CCM ilivyompandisha ndugu yetu Mwakubusi. Hakuna aliyekua anamfahama Ila CCM walimuweka ndani na watu maarufu, walipoona umaarufu wake unapungua, wakamuwekea pingamizi. Sasa hivi Ni rais wa TLS.
SASA hivi anasubiri kuchukua fomu ili achukue Jimbo la Mbeya mjini mwakani kiulaiiini.
MUNGU MWENYEZI amsaidie ashinde mimi kama mwana maombi nasmama naye
 

Attachments

  • IMG_20240929_100516_1.jpg
    IMG_20240929_100516_1.jpg
    1.5 MB · Views: 2
  • IMG_20240929_100502_2.jpg
    IMG_20240929_100502_2.jpg
    1.5 MB · Views: 1
  • IMG_20240929_100431_4.jpg
    IMG_20240929_100431_4.jpg
    1.4 MB · Views: 1

Attachments

  • IMG_20240929_065255_7.jpg
    IMG_20240929_065255_7.jpg
    1.4 MB · Views: 1
  • IMG_20240929_065349_3.jpg
    IMG_20240929_065349_3.jpg
    1.6 MB · Views: 1
  • IMG_20240929_065408_9.jpg
    IMG_20240929_065408_9.jpg
    1.3 MB · Views: 2
Akiwa impeached ndio bas tena katika kujihusisha na siasa..

But pia akiwa impeached Lazima atakamatwa mara moja na kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma zilizosabababisha kubanduliwa kwake...

Nadhani atajiuzulu na kisha kukimbilia uhamishoni 🐒
Kosa lake kubwa ni lipi ? Sijafuatilia kabisaa
 
Kosa lake kubwa ni lipi ? Sijafuatilia kabisaa
ana tuhuma 9 nzito ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya ofisi ya Naibu RAIS, ufisadi, ukabila, uchochezi na kumtisha boss wake na watumishi wa umma kwa uchache 🐒
 
ni katiba yao mbovu ambayo wameitunga wao wenyewe na hivi sasa kwenye utekelezaji wao wenyewe wanaiona mbaya, ndilo hasa jambo ambalo limewavutia Africa Mashariki kufuatilia kinachoendelea Kenya ...

Gachagua anajulikana county ya Nyeri tu, na kwa sehemu kidogo sana maeneo machache mount Kenya...

hata hivyo,
tuhuma zinazomkabili ni nzito mno na matokeo yake ndicho hasa kinachosubiriwa kwa hamu na gamu.🐒
Maiti za CCM hizi!!
 
Back
Top Bottom