ras nagashima
Member
- Nov 29, 2014
- 68
- 9
- Thread starter
- #41
Kuna Tapeli mmoja aisee amefirisika anaitwa Mushi Nguku mtu wa kwetu Rombo yuko huko Tokyo na yeye amekuja kuokota mapikipiki na baiskeli,atatuletea kwa bei poa tunamsubiri kwa hamu aisee
Hahahahahha hakuna shida mkuu endelea kumsubiri anakuja