X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Oct 31, 2008 Thread starter #21 DMussa said: this was only meant to bring some sense of humour.....mbona tena!!!! mistari??/ Click to expand... Ni kweli usemayo ndugu yangu, ila kumbuka kuwa...! Mtu mwovu hayawazii mema ya mtu yeyote kwa sababu haoni kitu ila kwa mujibu wa umbile la nafsi yake. Na siku zote kujiona kwamba yeye ni bora kuliko wengine.
DMussa said: this was only meant to bring some sense of humour.....mbona tena!!!! mistari??/ Click to expand... Ni kweli usemayo ndugu yangu, ila kumbuka kuwa...! Mtu mwovu hayawazii mema ya mtu yeyote kwa sababu haoni kitu ila kwa mujibu wa umbile la nafsi yake. Na siku zote kujiona kwamba yeye ni bora kuliko wengine.