Impressive President Kenyatta

Impressive President Kenyatta

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Amewaambia wabunge kuwa hataongeza mshahara, maana waliomba uheshimiwa wakijua mshahara, akasema "kama mnanichukia mnichukie, sijali". Akaendelea " namuomba my brother Raila Odinga hata mahakama ikisema niondoke, nakuomba usiidhinishe muswada wa nyongeza ya mshahara"
 
Hiyo "my brother Odinga usiidhinishe" ni dongo tu la kisiasa
 
uhuru anajua mahakama hatubuth kupangua matokeo walio yapanga mezani -na wembe huo huo tutake tusi take makamanda tunashadikia mwana wa kanu kupita ndo uta nyoa nywele zile nyeupe
Acha kufikiria na ma.p.umbu wewe!
 
Back
Top Bottom