Amewaambia wabunge kuwa hataongeza mshahara, maana waliomba uheshimiwa wakijua mshahara, akasema "kama mnanichukia mnichukie, sijali". Akaendelea " namuomba my brother Raila Odinga hata mahakama ikisema niondoke, nakuomba usiidhinishe muswada wa nyongeza ya mshahara"