In a bid to end US hegemony, top Arab leaders including Saudis and Iranians are meeting in China to plot ‘end’ of American global dominanance

SAUDI ni USA, 100% see what next ndio utajua Saudi yuko kwa ajili ya wamerekani
Maybe,tusubiri,time will tell.Labda ni collusion kutufanya wadanganyika tuamini kwamba ipo against the US,kumbe wapo pamoja.

Najua upo mpango wa kuwa na a Global Central Bank Digital Currency,sasa may be they are in the process, na Saudi Arabia wanajifanya wana destroy the US$,kumbe infact nia yao ni kui-destroy the US$,ili kwa pamoja wa-introduce the Global CBDC.

Fuata link ifuatayo labda utanielewa.

 
Aisee,USA atajiungaje na BRICS?Hii inaonyesha jinsi usivyojua alliances za Dunia.
Wewe uelewi hoja yangu...hoja ni kuwa USA akiamua kujiunga na BRICS watamzuia? Nchi nyingi bado wanakaribishwa ku side na BRICS na utambue kuwa BRICS haijasema idadi wa baadhi ya nchi wanaokaribishwa na wasiokaribishwa.
 
Mi siwapendi Easterners
 
Mchaw lugha
 
Hayo mataifa kama Saudi Arabia, Iran, Russia na China hayana mustakbali wowote wa maana.

Wasitegemee kwamba tawala zao za kibabe na kiimla eti zitawasaidia siku zote, sio kweli. Tuweke macho.
 
Mi siwapendi Easterners
Kwa nini huwapendi.Mimi nimesema kwa nini sizipendi Serikali za nchi za Magharibi,na wewe tuambie kwa nini hupendi Serikali za nchi za Mashariki
 
Hivi unajua kuwa GDP ya hao mataifa yote 100 yakiungana bado hayaifikii GDP ya USA. Ebu tuambie huyo mtu unamshushaje hapo. Yaan hii ni sawa na jiran yako anayekuzidi utairi mara 1000 na anakuzid Kila kitu lakn bado unamchukia na unatafuta alliance Ili mshushe. Kitu ambacho ni kigumu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…