Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Safi sana nilitaka kujua gharama maana sijui sana nafikiri ni watu wenye Mipesa mingi ndio wenye ubavu,
Vipi kama tuna Million 25 za Kitanzania tunaweza kuwa hewani na kwa Umbali gani????
1. Unaposema GROUND-LEVEL una maana gani?????Kwa hiyo pesa unaweza kuwa hewani kwa Km 45 za maraba ground level na ukifungiwa vizuri unaweza kufika mpaka 60KM Asante na karibu sana.
1. Unaposema GROUND-LEVEL una maana gani?????
2. Kama nikifunga radio ya M 25 baadaye nikapata zingine naweza kui-UPGRADE ikawa bora zaidi???
3. Ni kitu gani kinachowezesha radio irushe matangazo mbali ni ANTENA au TRANSMITER???
4.Kama uwezo wangu ni mdogo je naweza kununua vitu leja-leja wakati niko hewani???????