In a deeply dillema..

In a deeply dillema..

asante kwa kuwa wewe mkubwa.

Yap, mie naamini ni mkubwa na siwezi kuwa na contradictions za namna hiyo, tulia na jitahidi kuwa realistic. Unajichanganya sana kwenye maelezo yako, pia na michango yako na bado huoni kama ni tatizo au una tatizo. Pole sana mama, ila jitahidi kuwa mwelewa.
 
Are you a virgin? Ulitaka yeye asi sex wakati anasubiri ndoa (sijui baada ya muda gani)? You are living in a very ideal world. Grow up. Angalia usije ukapata koroma.
 
sema wewe mkubwa.cyo eti unaamini.believe ur self.
 
Are you a virgin? Ulitaka yeye asi sex wakati anasubiri ndoa (sijui baada ya muda gani)? You are living in a very ideal world. Grow up. Angalia usije ukapata koroma.

out of point.ndiyo maana akaenda zake.CHAPTER CLOSED.
 
Yap, mie naamini ni mkubwa na siwezi kuwa na contradictions za namna hiyo, tulia na jitahidi kuwa realistic. Unajichanganya sana kwenye maelezo yako, pia na michango yako na bado huoni kama ni tatizo au una tatizo. Pole sana mama, ila jitahidi kuwa mwelewa.
Mkuu! Tushaelewesha sana,, kanajinadi, we kasubiri bahada ya siku mbili tatu katakuja na thread nyingine kanatafuta muhogo....! Hii ni type ya yule binti Triple "O"
 
Nilikuwa na boyfnd wangu.but kwa baadhi ya vitabia vyake vya kuwa na wasichana wasichana wengi nikaamua kuachana nae.Inshort alikuwa ana nicheat sana tu.But cha kushangaza,he still remembered me sana mpaka nakuwa nashangaa.It kant pass two wiks or even a week without texting me or calling.Mpaka sometimes inabidi nijitose kumtext pia,asihisi na roho mbaya.Becouse breaking up,doen't mean we r enermies.ila kwa nini wengine wakibreak ni moja kwa moja.hata text or kals wanaacha kabisa.ila this guy,is amaizing me.i see the signs that he still nid my company alot.But why is he cheating while he still loves me?..Why is he stil telling me about his future plans and alot of issue about himself?.For sure am in dillema.I stil love him.but simuelewi elewi. I nid help please.should i tell him that we shuld completely stop communicating so that we can forget each other?...Or shuld i tel him to stop his habit and become lovers as before?...Becouse the source is only cheating.hana tatizo lingine.nifanyaje?.

Una umri gani wewe?
 
some people just cant stop communicating hata kama mmeachana. my ex calls me everyday and we talk as friends na kupeana mawazo ya maendeleo. kuachana doesnt mean muwe maadui. the most important thing is to know what you want, whether wataka kurudiana nae ama u want to move on. if u want to move on then u should consider ure communication ya kawaida tu na hutamchukulia kama mpenzi bali rafiki.
 
Mkuu! Tushaelewesha sana,, kanajinadi, we kasubiri bahada ya siku mbili tatu katakuja na thread nyingine kanatafuta muhogo....! Hii ni type ya yule binti Triple "O"

Nami nimeona mkuu, inaonekana hajielewi na utoto mwingi sana. Halafu ni mbishi anayetaka kuishi miaka ya zamani wakati inaonesha hata umri hafiki "20yrs" !. Mwache na akikua atajua kwamba anatakiwa aishije.
 
If one plus one=2

IS LOVE=SEX????????:scared:........

I think you want to convise me 1 plus 1=11...

Definitely yes
Inaonyesha wewe ulikuwa unamshikisha mapembe mwenzio
 
Hivi akikutext text na kupiga ndio inatosha kuona anakupenda!! Pengine kashatendwa alipokuwa anataka kurudisha majeshi kwako. Akili kumkichwa bidada.
 
sasa hil neno in deeply dilema linatoka wapi?....
 
I have never slept with him.
Hii ndo sabab kubwa ya ninyi kubreki.
The other thing, kama unadoubt kumtaka abadilike ili mrudiane manake bado unamtaka.
Just jitosetu. usiidhulum nafsi.
 
Alikuwa ana bana jamaa anabanjua pembeni
 
And thats why i kal him a cheater.kama alichokuwa anataka ni kubanjuana tu,i think anayapata yote hayo huko haliko tena na zaidi.Then he shuld not remember me now.kama issue was sex tu.coz anaipata huko aliko.
 
alikusaliti vipi wakati chezo hujawahi mpa?

Mapenzi ya kisasa yako complicated mno, mie hata sijui nikushauri nini.

Ila kwa magazijuto ya haraka haraka, ulidhani humpi chezo afu akae tu anakusubiri hadi siku ya ndoa ambayo wala haijawahi ongelewa?

kwaa kweli!!!
 
Marida, If you can go through each day NOT wondering whether he is cheating on you then you can take him back. May be he has learned his lesson and wants it to work this time. On the other hand if you have doubts maybe you need to rethink the whole situation because nobody deserves an unhappy life.
Only you who can decide.
 
And thats why i kal him a cheater.kama alichokuwa anataka ni kubanjuana tu,i think anayapata yote hayo huko haliko tena na zaidi.Then he shuld not remember me now.kama issue was sex tu.coz anaipata huko aliko.

anatuzuga huyu binti...keshaparuliwa mwili mzima anaumia tu ndoa imepepea...kwa vijana hawa wamjini bado tu ukute hapewi kidu.du? la hasha..kadanganye fb......................alafu nikiuaproach unasema no sex hadi nikuoe...utaoza nakwambia!!! loving somebody is risk taking.....kama kaenda basi hakuwa wako wait for urs
 
Back
Top Bottom