ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole
Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.
Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana.
Kutokana na hilo, wakaweka slogan Yao " In God We Trust " Kwenye sarafu Yao.
Sio hilo tu, huko nyuma ilikuwa lazima raia wa Marekani kulipa fungu la kumi Kanisani.
Ilikuwa tena ni lazima kila mwananchi kukalili amri kumi za Mungu. Makanisa ya Catholic, Anglican, Lutheran nk hayakupenya Sana Marekani. Wao waliamini Ulokole. Miongoni mwa makanisa ya Kilokole yaliyoshamiri Sana lilikuwa Kanisa la BAPTIST
Kutokana na hili, Mungu akalibariki Sana taifa la Marekani na by 1880, Marekani rasmi ikawa na Uchumi Mkubwa duniani.
Baraka hizi za Mungu Zilimiminika Sana kiasi kwamba gunduzi nyingi za Kisayansi na technology ziligundulika Marekani. Tumeshuhudia ugunduzi wa aeroplane, radio, TV, computer nk.
Cha ajabu Mdogomdogo kwa kadri muda Ulivyoendelea, Marekani wakaanza Kumuacha Mungu na kukaribisha Ushetani. Sasahivi Ushetani Unatisha Sana ndani ya taifa la Marekani.
Viongozi wameleta Sera za Kishetani Kupindukia. Taifa la Marekani liko hoi. Limezama kwenye shimo la dhambi.
Tushukuru, raisi Trump Ameahidi kulirudisha taifa kwa Mungu. Anapinga Sana Sera za Kishetani