"In God We Trust" msingi wa Taifa la Marekani

"In God We Trust" msingi wa Taifa la Marekani

Hv ndio hao marais walokole waliokoleza unyanyasaji wa watu weusi amba ni uzao wa watumwa? Ndo hao waliwaua viongozi wa watu weusi waliopigania haki za wenzao?
Ndiyo mkuu.
 
Kuna sera za kishetani zaidi ya utumwa/"slavery"? Watu weusi Marekani walishawahi kulipwa kutokana na utumwa?
Kuna ushetani zaidi ya genocide waliyofanyiwa wahindi wekundu ambao walikuwa wakazi wa America?
Kuna ushetani zaidi ya majaribio ya kisayansi ya kaswende waliyofanyiwa watu weusi kupitia Tuskegee Syphilis study?
Hata kama mnampenda Trump msimfanye yeye ni mtakatifu, masihi na mwokozi wa America na wagalatia wafia dini
Very well said.👍🏽👏🏽
 
Back
Top Bottom