Kuna sera za kishetani zaidi ya utumwa/"slavery"? Watu weusi Marekani walishawahi kulipwa kutokana na utumwa?
Kuna ushetani zaidi ya genocide waliyofanyiwa wahindi wekundu ambao walikuwa wakazi wa America?
Kuna ushetani zaidi ya majaribio ya kisayansi ya kaswende waliyofanyiwa watu weusi kupitia Tuskegee Syphilis study?
Hata kama mnampenda Trump msimfanye yeye ni mtakatifu, masihi na mwokozi wa America na wagalatia wafia dini