In love with Nigerian English (accent and all that)

NCHI ZINAZOZUNGUMZA LUGHA YA KIZUNGU BILA LAFUDHI YAKIKABILA MALAWI,ZAMBIA,KENYA,NA TANZANIA
Zimbabwe, Tanzania, Zambia, Malawi & South Africans wana fanana flan ki muonekano na ki lafudhi wakiongea English.

Hata mbele watu wa nchi hizi bila wao kukwambia au kuelewa lugha yao huwez wa note miaka buku.

As for most nigerians uki have a close look at them bila hata wao kuongea au ku pretend hawana accent ya naija unawajua tu.
 
Zimbabwe, Tanzania, Zambia, Malawi, South African wana fanana flan ki muonekano na ki lafudhi. Hata mbele watu wa nchi hizi bila wao kukwambia au kuelewa lugha yao huwez wa note miaka buku.

As for most nigerians uki have a close look at them bila hata wao kuongea au ku pretend hawana accent ya naija unawajua tu.
Nilipotoka Tanzania kwa mara ya kwanza, nilipokua ninaongea waliniambia nina South African accent.
 
Likewise M bongo ukienda UK they will definitely think ur from Zimbabwe or South Africa cz Zimbabwe's ni wengi sanaa kule.

Uongo dhambi most chicks from Zimbabwe are light/fair skinned and very preety.
 
Likewise M bongo ukienda UK they will definitely think ur from Zimbabwe or South Africa cz Zimbabwe's ni wengi sanaa kule.

Uongo dhambi most chicks from Zimbabwe are light/fair skinned and very preety. Hata ukiona mama wa makamo unajua kabisa seems ujana wake alikua anakimbiza sanaa. Tehe
Tueleze vizuri kaka, ulipata mama wa Kizim wa makamo kidogo akakupa joto enzi za uanafunzi?
 
Hakuna watu ninaowachukia na nisiowapenda kama wanaigeria.. Wewe mleta mada obviously hujawahi kutapeliw .... Mnaigeria sio mtu mzuri na hicho kipigin unachokipenda hujui ukipendacho...
 
Zimbabwe, Tanzania, Zambia, Malawi & South Africans wana fanana flan ki muonekano na ki lafudhi wakiongea English.

Hata mbele watu wa nchi hizi bila wao kukwambia au kuelewa lugha yao huwez wa note miaka buku.

As for most nigerians uki have a close look at them bila hata wao kuongea au ku pretend hawana accent ya naija unawajua tu.
NI KWELI MKUU WANAIGERIA RAHISI SANA KUWATAMBUA KWAKUWA LAFUDHI YAO HAIFICHIKI
 
Tueleze vizuri kaka, ulipata mama wa Kizim wa makamo kidogo akakupa joto enzi za uanafunzi?
Hahaha hapana. Kuna dem waki Zim alinizidi like 6 years a single mother nilionganishiwa nioe ni remain UK if i wanted ila nikachomoa. Ki ukweli alikua na body body flan hivi tamu balaa nd fair skinned.
 
Mhhh
 
You want to know our specialization in language ohh ?! Na come to my house ago teach you oohh ?!
 
Hahaha

Kuna dem mwingine wa ki zim nilimzidi kidogo umri tulisoma same university. Daah nilikufa nikaoza kwake man. Mpaka like namuaga narudi bongo chozi likanitoka. We enjoyed a lot there man. Daah

Ni woga tu like i thot marrying a chick outside TZ ingekua challenge kidogo perhaps tunge fail. I really miss that chick man. She was soo loving. Daah
 
Nigerian pidgin english na ile accent yao mie hoi..kwa kelele ndo balaa. Rafiki zangu wakiwa wanaongea nabaki kukodoa macho.

How far ma sista? Oga?
Small small.
Adey come.
Abi?
Wahala.
Abeg.
 
Hahaha

Kuna dem mwingine wa ki zim nilimzidi kidogo umri tulisoma same university. Daah nilikufa nikaoza kwake man. Mpaka like namuaga narudi bongo chozi likanitoka. We enjoyed a lot there man. Daah

Ni woga tu like i thot marrying a chick outside TZ ingekua challenge kidogo perhaps tunge fail. I really miss that chick man. She was soo loving. Daah
I hope mke wako haijui ID yako ya JF. Dunia sasa hivi imekuwa kama kijiji kidogo, ile dhana ya kuoa mwanamke wa nyumbani ilikuwa zamani wakati ule barua huchukua wiki mbili ifike upande wa pili. Siku hizi kuna skype, whats up. Usafiri pia nauli za ndege zinawezekena. Ni roho yako tu inapenda wapi.
 
That is true.
Uzuri wa kule mbele bana....its very possible dem kukupenda with just ur average financial status cz kule kila mtu both husband and wife work hard for a living dem akiwa kupe its likely kutakua na crisis.

Dem nilikua namuona sanaa church kabla kunote tuko same Uni....church saa ya holy sacrament tukiwa mstari kwenda pale mbele ikatokea akasimama mbele yangu kwenye queu.

Mi nikiwa mrefu kidogo zaidi yake...OMG its like i felt she z my wife already like its normal for a husband & wife kuongozana church. Nikasema potelea kote this is it, lazma niongee nae after mass. Ibada kuisha nikamngoja mlangoni nnje ile anatoka tu sikutaka salimiana na marafiki wa naija, zimbabwe wala nn akili yote ipo kwa Shawry huyo.

Nikazuga zuga natembea karib yake nikamsalimia...nd like uongo uongo mwingi sijui nimekuona wapi bla bla...kuuliza upo chuo flan ?? Kajibu NDIO (BINGO, Im like " Me Too" ). Nikaomba namba nikapewa tuka ongozana few streets to the mall tukaachana....the rest is history. Daah
 
Labda na yeye huko anakuwaza hivyo hivyo, believe me if you two you are meant to be together, that will happen no matter what.
 
Back
Top Bottom