Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Endelea kupumzika kwa Amani Kamanda Mohamedi Mtoi , classmate wa vidudu (chekechea) and Secondary. Ile kama kweli ilikua Ajali ya kawaida basi Mungu anajua...
www.jamiiforums.com
TANZIA - Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali
Duuuh rest in bro, kamanda Mtoi. Sas kwa wajuzi je chama kinaruhusiwa kuweka mgombea mwingine au inakuwaje