In Loving memory of Mohamedi Mtoi September 2015

..kama alidhulumiwa basi HAKI itendeke.

..Sijui kwanini wanapodhulumiwa wana'Cdm vyombo vya dola huwa havichunguzi.
Labda vinaiogopa CHADEMA maana huwa wanaanzisha propaganda CDM wameuana halafu wanakaa kimya. Unajiuliza Polisi wanavyoichukia CHADEMA wasikie kweli Mnyika anahusika wakae kimya?
 
September hii unatimiza miaka nane tangu wachukue uhai wako kwa uchu wa madaraka, haki yako haitapotea bure, naendelea kukumbuka rafiki yangu. MANI zumbemkuu Chakaza huu mwezi haukua mwezi mzuri kabisa
Daah, huu mwezi alianza Mtoi siku ya J3 nikiwa njiani kutokea Zenji narudi Dar, baba yangu mzazi akanipigia simu kuwa tumeona kwenye taarifa rafiki yako amefariki nikamwambia ni kweli amefariki usiku siku ya Jumapili. wiki moja baadae tarehe 19 mwezi huo huo wa 9 siku ya Jmosi nikiwa tena njiani narejea Dar mishale ya saa 6 mchana baba yangu nae akavuta,. Ulikuwa mwezi wa majonzi makubwa sana kwangu. Halafu mwezi uliofuata wa 10 (October 25) taifa likapata msiba mwingine tena mkubwa na wa kihistoria,
 
Labda vinaiogopa CHADEMA maana huwa wanaanzisha propaganda CDM wameuana halafu wanakaa kimya. Unajiuliza Polisi wanavyoichukia CHADEMA wasikie kweli Mnyika anahusika wakae kimya?
Bonge la observation
 
Daah, huu mwezi alianza Mtoi siku ya J3 nikiwa njiani kutokea Zenji narudi Dar, baba yangu mzazi akanipigia simu kuwa tumeona kwenye taarifa rafiki yako amefariki nikamwambia ni kweli amefariki usiku siku ya Jumapili. wiki moja baadae tarehe 19 mwezi huo huo wa 9 siku ya Jmosi nikiwa tena njiani narejea Dar mishale ya saa 6 mchana baba yangu nae akavuta,. Ulikuwa mwezi wa majonzi makubwa sana kwangu. Halafu mwezi uliofuata wa 10 (October 25) taifa likapata msiba mwingine tena mkubwa na wa kihistoria,
Dah, haukua msimu mzuri Kaka ila hapo mwisho ulivyomaliza sasa
 
Daah, huu mwezi alianza Mtoi siku ya J3 nikiwa njiani kutokea Zenji narudi Dar, baba yangu mzazi akanipigia simu kuwa tumeona kwenye taarifa rafiki yako amefariki nikamwambia ni kweli amefariki usiku siku ya Jumapili. wiki moja baadae tarehe 19 mwezi huo huo wa 9 siku ya Jmosi nikiwa tena njiani narejea Dar mishale ya saa 6 mchana baba yangu nae akavuta,. Ulikuwa mwezi wa majonzi makubwa sana kwangu. Halafu mwezi uliofuata wa 10 (October 25) taifa likapata msiba mwingine tena mkubwa na wa kihistoria,
Pole sana Kaka
 
Back
Top Bottom