Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Jamaa alikuwa na busara sana. Sema ndiyo hivyo. Kifo chake cha utata sana. Bado siamini kama ilikuwa ajali ya kawaida
Si ndio alikuwa akipinga Lowassa kugombea uraisi chadema. RIP kwake, ukweli wake ulimponza..kifo cha Mohamed Mtoi kiliniuma sana.
Ukweli wake wa kupinga lowassa kugombea uraisi chadema ulimponza. RIP mtoi.Mungu ipokee roho ya Mohamed Mtoi , Anen
Wewe ni MpuuziSi ndio alikuwa akipinga Lowassa kugombea uraisi chadema. RIP kwake, ukweli wake ulimponza
Sijawahi kujua kuwa wewe ni mjinga kiasi hikiUkweli wake wa kupinga lowassa kugombea uraisi chadema ulimponza. RIP mtoi.
Kuna siku mtalipa yote mliyowatendea vijana wasio na hatia
Si ndio alikuwa akipinga Lowassa kugombea uraisi chadema. RIP kwake, ukweli wake ulimponza
Pole sanaAlikua anafanana na my lete Father..
RIP Moud❤️
Sana sana sita sahau, pia kifo cha Rgina Mtema kiliniuma sana..kifo cha Mohamed Mtoi kiliniuma sana.
Maisha ni fumbo, sitakaa niamini kama vile vifo vilikua ni vya kawaidaSana sana sita sahau, pia kifo cha Rgina Mtema kilimuuma sana