X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
- Thread starter
- #21
Thanx mkuu, all i can say is AMEN.Maneno yako yana hisia sana!
Mshukuru Mungu kwa kukupa muda wa kukaa na kumjua baba yako,uuenzi muda huo kwa kushukuru na kuwa baba mzuri kwa watoto wako; kuwa baba hasa kwa yatima (wasio na wazazi)
Mungu awape pumziko la milele wote waliotutangulia!
Amen!