In Loving Memory Of My Father

Wa innali Lhahi Inna Ilhahi Rajun....

Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema
ajalie walo tangulia Wapumzike kwa Amani....

Pole Saaana X-P.
 
..........Pole sana X- Paster, kazi ya Mungu haina makosa na siku za mwanadamu zinahesabika.
 
Sir XP,

I just don't know what to say. May God, the beneficent the merciful, give you strength. Pole kaka. Pole sana.
Shukrani mkuu, shukrani sana... Hayo uliyo yaandika ni dua tosha sana mkuu wangu...!
 
Wa innali Lhahi Inna Ilhahi Rajun....

Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema
ajalie walo tangulia Wapumzike kwa Amani....

Pole Saaana X-P.
Shukrani sana AshaDii...!

Rabbanaa Taqabbal Minnaa Innaka Antas-Sami'ul 'Aliym
 
..........Pole sana X- Paster, kazi ya Mungu haina makosa na siku za mwanadamu zinahesabika.
Ni kweli maneno yako dadangu Pretty...!

Ni wajibu wetu kukirejesha kwa mwenyewe kile tulicho kikopa.
 
God giveth and taketh,his name be glorified,Amen!!!
 
Mungu wetu ni mwema, kila alipangalo ndilo linalotimia. Pole sana X-P!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…