In my shoes cha Wema Sepetu on air soon

Yaan kila kitu wasifiwe utafikiri Wema malaika Mungu mwenyewe anachukiwa na kupewa mawazo tofauti sembusee kibaraka wema aiiii

Wapuuzi kweli hawa watoto, naona wamevamia JF toka IG kulinda ngumi za uso anazopewa bibi yao. Hebu Dinazarde nisaidie kuiambia hii product ya IG huyo bibi at least safari hii ajitahidi walau aonyeshe vitu vya maana ambavyo hata familia ya kiafrika inaweza kuangalia.
 
Last edited by a moderator:
Huo ni wivu moja kwa moja usijitetee mdada. Lol.

I feel sory for ua thinking ha ha imenibidi tu nicheke mana umenifurahisha loh nijitee kwa lipi sasa unataka tusifie ukitakacho tungekua tuna comment mawazo ya kufanana kusingekuwa na haja ya hii forum u wrote pointless kabisa acha ushabiki maandazi usilolijua ni sawa na usiku wa giza huku si instagramu wana kosifia eeh umenichekesha kwakweli jitee kwa hoja sio kukimbilia wivu hio ni symbol ya inferiority complex wewe too low honestly dont u ever quote me and tell me such idiotic comment
 
Hivi hii show sijui inafundisha nini?Maana naona Madam ni bata tu kwenda mbele tofauti na ya Lady jaydee.
 

Like like like like like like...
 
Mbona watu mnaweweseka sana jamani mtuwache miaka mia nane

Tutashabikia tutakavyo hutaki unakaa pembeni au waweza ingia thread nyingine majukwaa mengine mnajifanya kumponda....
 

We nae naona hata hujui ulisemalo una usiku wa giza uliza utolewe hizo tongotongo... mtu unaanzaje kukimbia IG ilhali Wema ndio habari ya mujini..

Bibi ni yule umemuacha kijijini kwenu.. bibi alikuzalia wazazi huyo Wema????? Guys give her a space

Tunashukuru kwa ushauri wa kipindi.. watakusikia watakufikia
 
Last edited by a moderator:
Raha ya hiki kipindi huku kikiendelea na warumi aendelee na ban.
 
Pole sana kwa maumivu maana ulivyopanick. Ndiyo hivyo tena utafanyaje Wema atabaki kuwa Wema tu. Halafu nahisi we ni Halima Kimwana. Haaaa haaaa uwiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…