In my shoes cha Wema Sepetu on air soon

Narudia tena Wema ni mfano mzuri kwa wadada wasiokuwa na kitu kichwani lakini wanaweza kuishi kwa kutumia kiungo chao kilipo mwilini mwao.Ukibisha lete ushahidi wako.

Mkuu ulishamaliza kila kitu.. Kwamba darasa la saba na form four leavers role model wao ni Wema. Over
 
Baelezee mwayego Heaven on Earth maana wamekazana IG IG. Tuna uhuru wa kucoment anywhere. Give us a break alaaah.
 
Sorry for yourself yoooo (in nigerian voice).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…