SIo kuwaambia, bali ni kueleza yanotokea kule.Nadhani kwenye nchi za dunia ya tatu hilo uliloandika linawezekana!
Lakini sio kwenye nchi za dunia yenye nguvu kama China au Urusi , sidhani kama hizo western media zinaweza kumwambia kitu xi jiping au vladimir putin.
China na Urusi hazitegemei misaada ya kujengewa hadi mashimo ya vyoo mashuleni ama free ARVs mahospitalini. Wana teknolojia na misuli ya kiuchumi.Nadhani kwenye nchi za dunia ya tatu hilo uliloandika linawezekana!
Lakini sio kwenye nchi za dunia yenye nguvu kama China au Urusi , sidhani kama hizo western media zinaweza kumwambia kitu xi jiping au vladimir putin.
Na bado wanakuja na full documentary of it, according to Madowo.CNN, BBC, ALJAZERA and the like ni confirmatory test for the authenticity of the news.
CNN akisema basi mchezo umeisha!
Rome has spoken; the cause is finished” or in Latin ” Roma locuta; causa finita est
Vipi Gaza hawakusema? Au Neta ni intouchalbeCNN, BBC, ALJAZERA and the like ni confirmatory test for the authenticity of the news.
CNN akisema basi mchezo umeisha!
Rome has spoken; the cause is finished” or in Latin ” Roma locuta; causa finita est
The issue is the authenticity of the news! China/ urusi wanaweza.kukataa lkn ukweli ukabako hivyo hivyoNadhani kwenye nchi za dunia ya tatu hilo uliloandika linawezekana!
Lakini sio kwenye nchi za dunia yenye nguvu kama China au Urusi , sidhani kama hizo western media zinaweza kumwambia kitu xi jiping au vladimir putin.