huyu sio seif ninayemjua mimiCCM imeiba uchaguzi Zanzibar. Kwa nini Seif anakubali matokeo wakati kihesabu CUF ndiyo walioshinda? Angalia kura za watu waliojindikisha kupiga kura na waliopiga kura utaona kuna wizi uliotokea.
Again, kwa nini Seif anakubali matokeo wakati CUF ndiyo walioshinda. Seif ni kibaraka wa CCM.
Utaratibu ninaopendelea mimi ni kuwepo tume maalum inayopokea maoni ya raia na kuyaweka kwenye mtandao kila siku.Watu watasema mtu anayefaa kuongoza baada ya miaka mitano ni fulani na sifa zake ni hizi......Ikiwa hali ndizo hizi,chaguzi za nini?.
Unajua haya mambo ya uchaguzi yana gharama mno,kuanzia mali mpaka muda na afya.
Ikiwa kila siku tunaingia gharama hizo mwishowe matokeo huamuliwa mezani.Ni afadhali tutafute utaratibu mwengine wa kupata viongozi.
Utaratibu ninaopendelea mimi ni kuwepo tume maalum inayopokea maoni ya raia na kuyaweka kwenye mtandao kila siku.Watu watasema mtu anayefaa kuongoza baada ya miaka mitano ni fulani na sifa zake ni hizi......
Ikiwa watu wataendelea kuridhika naye hata miaka 70 sawa.Hii itakuwa kati na kati baina ya ufalme na demokrasia.Gharama itakuwa chini sana.Fedha zitatumika kwenye mambo ya mendeleo.
Mkuu Ami inakatisha tamaa. Ningependa baadaye mambo ya Waislam na Wakristo yaishe, tumuondoe madarakani shetani CCM. Maalim Seif kakubali baada ya kuombwa sana. Ila CCM watalipia uhuni wao siku moja.