Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Kile ninachofahamu Geza Ulole kuhusu siasa za Raila ni huwa anatamba sana ndani ya miungano, ajabu hata alivoungana na KANU mwaka wa 2008 hakuwa na azimio kama alivokuwa nayo kibaki kuunda chama cha DP. Kuungana kwake na KANU inadhihirisha alijibainisha na uongozi wa moi. unafiki huo wa kusema alichochea mass exodus kwenye KANU ni brain child ya raila sijui ingemsaidia vipi. Tena ni ajabu kinachotuwacha vinywa wazi ni kwa nini alisisitiza kibaki "tosha"? kwa nini hakuendeleza sera zake kwenye NDP/LDP.
Akaja na siasa za kuweka mikataba, inasemekana ana mikataba/MOU na wanasiasa wengi, kama Ngilu, marehemu wamalwa, nyachae, ukiongezea na mkataba aliyoweka saini na kibaki halafu malizia na ile alioweka na wanaofadhili vuguvugu la (MRC) ambao ni kundi imetengwa na viongozi na masheikh waasi kwenye uongozi wa dini ya kislamu kuleta maandamano, michafuko, na kuvuruga hali za siasa za kenya na viungani mwa mombasa to make kenya ungovernable. yes that is the logic behind raila's campaign, ambao ilitumika sana kwenye mataifa demokrasia za ghana na hata ivory coast na hivi maajuzi dikteta morsey wa misri ameweza kuingia madarakani. Ninachofurahi ni kama taifa kenya tumeweka misingi thabiti ya kisiasa, na hali ya political crisis inaosababishwa na jamii ya kimataifa katika matiafa ya afrika haiwezi kamwe kuweka madikteta kwenya urais.
ikija katika kujua party manifesto ya chama, tulikuwa na chama tawala cha kanu ambao ndio walikuwa na manifesto iliyotolewa ulaya, lakini kando na hayo taifa liliendelea kuharibiwa na ufisadi ukashamiri. Kwa sasa hatutaki viongozi ambao wanaongoza kwa vyeti kama MOU, manifesto nk, tunataka viongozi wakuwatumika wanachi.
Mwaka wa 2002, raila katika muungano wa Rainbow aliwahakikishia wakenya katiba mpya baada ya siku mia moja ya kuingia uongozini, je alitimiza hayo? lakini ahadi zake zimkuwa tu ni porojo za kupitisha wakati kwenye Kampeini. Nikimalizia, ni Raila ana rekodi ya kumuhondoa moi mamlakani au ni rainbow coalition?
Wewe mtu lazima nikuandame tu maana inapokuja kuhusu Raila, una kamtindo kakutaka kupotosha watu humu
jamvini. Ngoja nikujibu kabla Geza Ulole, hajaja hapa.
Raila hana ubinafsi na cha mno kukumbuka ni kwamba alienda kwenye huo muungano ile kuivunja KANU. Bila hio
mass exodus alosema Geza haingefanyika na KANU ingekua bado inatamba mpaka wa leo.
Pia unanishangaza kwa kua huelewi kwa nini Raila 'alimtosha' Kibaki!...That was for the benefit of Kenyans. The only way
KANU ingepigwa chini ni kwa vyama vyote vya upinzani kuongea kwa sauti moja! Kumbuka wakati huo kina Nyachae
walikua wanataka kugombania urais pia. Kwa hivyo kama Raila angalienda kivyake na LDP/NDP, Nyachae kivyake na FORD-People
na Kibaki na muungano wake, Uhuru Kenyatta aliyekua kinara wa KANU angalichukua urais kwa njia ya ulaini. Kwa hivyo
ujasiri wa Raila ndio ulosabibisha KANU kupigwa chini. Raila put the interests of the nation 1st, which was to break off
the yoke of KANU/Moi!
...kisha sielewi hoja ya jamii ya kimataifa imeingia vipi humu tena? I will leave it at that coz that is dead horse that you
have been flogging in a big number of your posts here at Jamiiforums. You are so fixated on it and I will leave you to
your own devices.
It is laughable that you can even say this...Kwa sasa hatutaki viongozi ambao wanaongoza kwa vyeti kama MOU, manifesto nk, tunataka viongozi wakuwatumika wanachi....and also this....Mwaka wa 2002, raila katika muungano wa Rainbow aliwahakikishia wakenya katiba mpya baada ya siku mia moja ya kuingia uongozini, je alitimiza hayo?
You know who resisted change in Kenya all this time and you have decided to bury your head in the sand on such
matters and chose to lie to sundry that Raila is the cause of Kenyans not getting the new katiba earlier. It was
Kibaki and his Mt. Kenya Mafia who wanted to preserve the Imperial Presidency with ethnic chauvanism (...read Kikuyu nation)
Toa hio lete nyengine!