sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,869 Reaction score 11,484 Oct 21, 2025 #1 Kama hujawahi kukikosoma kitafute yanayoendelea sasa ni hayo yaliyoandikwa umo
Brelim Skoro_ JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 15,188 Reaction score 37,742 Oct 21, 2025 #2 Kwahiyo alisemwa mtu kabla hajawa vile alivyosemwa ? KITABU walichotumia kumnanga Jiwe leo ukikinadi watakichukia na watakuuwa. Mwisho wa Ubaya Aibu.
Kwahiyo alisemwa mtu kabla hajawa vile alivyosemwa ? KITABU walichotumia kumnanga Jiwe leo ukikinadi watakichukia na watakuuwa. Mwisho wa Ubaya Aibu.
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 981 Reaction score 1,411 Oct 21, 2025 #4 Hiki hapa