"In the Name of the President: Tafsiri yake ni: Maagizo kutoka juu-by Erick Kabendera

"In the Name of the President: Tafsiri yake ni: Maagizo kutoka juu-by Erick Kabendera

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nilishindwa kujua maana yake mpaka niliposikia clip ya Mohamed ghassani

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM

"In the Name of the President:

Tafsiri yake ni : MAAGIZO KUTOKA JUU

1735899662566.png

1735899612107.png
 
Hii inaonesha kiingereza Kwa watanzania ni tatizo.wengi walijua inamaanisha ni Kwa jina la rais.
Hiyo ni tafsiri yako...haiwezi kuwa hivyo maana haileti maana kutokana na mwandshi wa kitabu madhira aliyopitia.... amri kutoka juu, maagizo na pia inaweza kuwa kwa nia njema maagizo ya rais kuneemesha watu pia inawezekana

in the name of
phrase of name

  1. bearing or using the name of a specified person or organization.
    "a driving licence in the name of William Sanders"
    • for the sake of.
      "he withdrew his candidacy for the post in the name of party unity"
    • by the authority of.
      "crimes committed in the name of religion"
 
Wewe tulishakwambia hamna kitu.

😄😄😄
Kwa wasiojuwa, mbali ya kuwa mwanahabari, Mohammed Ghassani ni mtaalamu na mwalimu wa lugha. Ana shahada ya pili (Masters) ya taaluma za tafsiri na ukalimani. Alikuwa mwalimu wa lugha kwenye Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kabla ya kuhamia Ulaya. Na amefanya kazi nyingi za tafsiri. Haiwezekani kwamba kabahatisha alipotafsiri jina la kitabu kuwa Maagizo Kutoka Juu badala ya Kwa Jina la Rais.
 
Sahihi
 
Kama yalioyandika ni ya ukweli basi jiwe 🙌
 
Back
Top Bottom