Uandishi ni sanaa, si sayansi.Hii inaonesha kiingereza Kwa watanzania ni tatizo.wengi walijua inamaanisha ni Kwa jina la rais.
Hahaha......Hii inaonesha kiingereza Kwa watanzania ni tatizo.wengi walijua inamaanisha ni Kwa jina la rais.
Wewe tulishakwambia hamna kitu.Nilishindwa kujua maana yake mpaka niliposikia clip ya Mohamed ghassani
View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM
"In the Name of the President:
Tafsiri yake ni : MAAGIZO KUTOKA JUU
View attachment 3191379
View attachment 3191378
matusi ya nini? muulize huyo aliyekuzaa kama sina kitu, sina kitu ungelipatikana?Wewe tulishakwambia hamna kitu.
πππ
Hahahamatusi ya nini? muulize huyo aliyekuzaa kama sina kitu, sina kitu ungelipatikana?
Hiyo ni tafsiri yako...haiwezi kuwa hivyo maana haileti maana kutokana na mwandshi wa kitabu madhira aliyopitia.... amri kutoka juu, maagizo na pia inaweza kuwa kwa nia njema maagizo ya rais kuneemesha watu pia inawezekanaHii inaonesha kiingereza Kwa watanzania ni tatizo.wengi walijua inamaanisha ni Kwa jina la rais.
Kwa wasiojuwa, mbali ya kuwa mwanahabari, Mohammed Ghassani ni mtaalamu na mwalimu wa lugha. Ana shahada ya pili (Masters) ya taaluma za tafsiri na ukalimani. Alikuwa mwalimu wa lugha kwenye Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kabla ya kuhamia Ulaya. Na amefanya kazi nyingi za tafsiri. Haiwezekani kwamba kabahatisha alipotafsiri jina la kitabu kuwa Maagizo Kutoka Juu badala ya Kwa Jina la Rais.Wewe tulishakwambia hamna kitu.
πππ
SahihiKwa wasiojuwa, mbali ya kuwa mwanahabari, Mohammed Ghassani ni mtaalamu na mwalimu wa lugha. Ana shahada ya pili (Masters) ya taaluma za tafsiri na ukalimani. Alikuwa mwalimu wa lugha kwenye Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kabla ya kuhamia Ulaya. Na amefanya kazi nyingi za tafsiri. Haiwezekani kwamba kabahatisha alipotafsiri jina la kitabu kuwa Maagizo Kutoka Juu badala ya Kwa Jina la Rais.