Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh akheri walimu walipwe mshahara mzuri . Sasa hivi judge mwenyewe anasema kuwa hukumu aliyotoa ni kwa maelezo kutoka juu
Haha kwakweliiNdio Nakwambia kama wanasiasa Kwa Sasa Ndio wanalipwa pesa ndefu na bado rushwa ipo
Unafikiri wakipewa salary ndogo siwatauza nchi kabisa