In time,on time,out of time, NACHANGANYIKIWA!

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,497
Reaction score
3,823
Tumebishana sana leo na mwalimu fulani wa kiingereza,kuhusiana na matumizi ya misamiati hyo tajwa, wakuu ebu ondoeni utata ili nimsaidie huyu mwalimu!
 
In time=umefika ndan ya mda tuliokubaliana,mfano,tumekubaliana kuonana sa 6 dk 30,ukafika mda mfup kabla ya mda huo,mfano ukafika sa 6 dk 15,au 10 au hata 29.
On time=umefika mda muafaka,sa 6 dk 30 kamili.
Out of time= ubwege,umefika baada ya sa 6 dk 30,inaweza kua 6 dk 31 kuendelea.
 
Sasa kama umeweza kuandika post humu jf,ulishndwa nin kugoogle ili kupata majibu sahih?acheni kujaza saver za jf kwa kuandika mada za watoto wa chekechea!
 

Nashukuru mkuu,hivyo ndvyo nilivokuwa nikimuelewesha huyu mwalimu lakn alikuwa mbishi! Ngoja nimuoneshe evidence!
 
Sasa kama umeweza kuandika post humu jf,ulishndwa nin kugoogle ili kupata majibu sahih?acheni kujaza saver za jf kwa kuandika mada za watoto wa chekechea!

'Kama kufa ni kutokuwako basi we mzima, ila kama ni zaidi ya hapo we umekufa!' KIMYA NI BUSARA.
 
TENA ZA CHEKECHEA NDOGO MKUU. HALAFU HUENDA MWALIMU ALIMWELEWESHA VIZURI ILA UBWEGE WAKE NDO ANAJIFANYA AKAMSAIDIE MWALIMU. Kwani nani alikwambia mwalimu anajua kila kitu. Kama hajasomea ni haki yake ashindwe kukujibu. Fikiria umuulize mwalimu wa History eti what is cell mutation? Unafikiri atakujibu? Fuata mwalimu sahii wa somo husika.
 
JF ya siku hizi! Jambo dogo watu wanarushiana madongo. Mhh!
 

Acha kudanganya wewe. In time ni ndani ya mda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…