Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Tumebishana sana leo na mwalimu fulani wa kiingereza,kuhusiana na matumizi ya misamiati hyo tajwa, wakuu ebu ondoeni utata ili nimsaidie huyu mwalimu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In time=umefika ndan ya mda tuliokubaliana,mfano,tumekubaliana kuonana sa 6 dk 30,ukafika mda mfup kabla ya mda huo,mfano ukafika sa 6 dk 15,au 10 au hata 29.
On time=umefika mda muafaka,sa 6 dk 30 kamili.
Out of time= ubwege,umefika baada ya sa 6 dk 30,inaweza kua 6 dk 31 kuendelea.
Sasa kama umeweza kuandika post humu jf,ulishndwa nin kugoogle ili kupata majibu sahih?acheni kujaza saver za jf kwa kuandika mada za watoto wa chekechea!
'Kama kufa ni kutokuwako basi we mzima, ila kama ni zaidi ya hapo we umekufa!' KIMYA NI BUSARA.
Tumebishana sana leo na mwalimu fulani wa kiingereza,kuhusiana na matumizi ya misamiati hyo tajwa, wakuu ebu ondoeni utata ili nimsaidie huyu mwalimu!
unasoma chuo gani mkuu?
In time=umefika ndan ya mda tuliokubaliana,mfano,tumekubaliana kuonana sa 6 dk 30,ukafika mda mfup kabla ya mda huo,mfano ukafika sa 6 dk 15,au 10 au hata 29.
On time=umefika mda muafaka,sa 6 dk 30 kamili.
Out of time= ubwege,umefika baada ya sa 6 dk 30,inaweza kua 6 dk 31 kuendelea.
Amedanganya wap na kama amedanganya toa jibu sahihi.Acha kudanganya wewe. In time ni ndani ya mda?