macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Aisee wabongo ni breed nyingine kabisa. Yaani wanasema askofu wakati yeye aliwakilisha ujumbe kutoka sehemu nyingine. Ni tatizo la kusoma? All in all, hawa wote waliopotea hakuna aliye hai, sijui ni kwa nini watu hawataki kuamini hata baada ya kuona watu wanauawa kama swala 29/10.Mmemuelewa vibaya askofu naye kapewa ujumbe alpupata Facebook kwamba ndugu yake kauona Facebook ndo kamrushia askofu ! Hivo hakutoka kwenye main source
Gentleman,
ikiwa uko na detailed information ya hizo drama, sasa si ukaripoti kwenye mamlaka husika kuliko kuja kumbwelambwela na kutafuta kiki jukwaani?🐒
Yes,Drama, trama watu wanapoteza maisha?
Kwa damu zile ni kuwa HP hayuko hai tena, kwa njia iliyotumika kumchukua kama yuko hai wataimbia nini dunia ili kujitenga na vitendo vyote vya utekaji ambavyo dola ilinyooshewa kidole?So askofu anawalisha matango pori watu
ni ruksa kujipa moyo, ila jamaa anajua haswaaaaaWengi wa "kiingereza" sampuli hiyo wakipewa nafasi ya kuongea/prompt speech hugeuka vibweka.
Uzoefu unaniongoza.Kuandika kwa kutumia muda mwingi kutafakari na kuongea uso kwa macho ni mambo mawili tofauti sana.ni ruksa kujipa moyo, ila jamaa anajua haswaaaaa
Hata yule wanayemuita sijui Mjomba mwenye herufi baada ya "S" naye hujitetea sana kwa kulambalamba midomo hivi hivi kama unavyofanya wewe wanapomwambia ukweli. Sijasema wewe ni yeye ila ndege wanaofanana huongea lugha mojaGentleman,
ikiwa uko na detailed information ya hizo drama, sasa si ukaripoti kwenye mamlaka husika kuliko kuja kumbwelambwela na kutafuta kiki jukwaani?🐒
ok.🐒Hata yule wanayemuita sijui Mjomba mwenye herufi baada ya "S" naye hujitetea sana kwa kulambalamba midomo hivi hivi kama unavyofanya wewe wanapomwambia ukweli. Sijasema wewe ni yeye ila ndege wanaofanana huongea lugha moja
Hicho sio kingereza relaxTuliokimbia shule nipatikana
Aisee wabongo ni breed nyingine kabisa. Yaani wanasema askofu wakati yeye aliwakilisha ujumbe kutoka sehemu nyingine. Ni tatizo la kusoma? All in all, hawa wote waliopotea hakuna aliye hai, sijui ni kwa nini watu hawataki kuamini hata baada ya kuona watu wanauawa kama swala 29/10.
duh, unamaanisha hata E.Nchimbi (PhD)? hivi kuna nchi hapa kweli? yaani makamu wa raisi cheo kikubwa kama hicho, mtu ambaye anaweza kuwa raisi muda wowote na hata raisi akisafri anamuchia nchi halfu haonekani na hakuna anayesema chochote? serikali haisemi chochote, hii ni ajabu na sijawahi kusikia jambo kama hili popote pale dunia hii ...
Key Details:In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022.
Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and amasses a plethora of followers online, ipso facto self anoints as an activist activista ex nihilo
Interdum, we egregiously abuse these digital platforms forum publicum to inculcate mendacity and feed the populus with fallacies, cum veritas the truth is already manifest and cognizant to us. Veritas manet, sed mendacium per internetum volat.
Let us utilize our pens calamus potentia est and our influence with utmost probity and sagacity!
Hodie, I observe an individual disseminating perfidious mendacity that Polepole is incarcerated at Ukonga, cum scientia certa that he is not.
Alius proclaims that Nchimbi resides in a dilapidated domicile at Lugalo, while cognizant de facto that such assertion is utterly fallacious.
Certain communiqués are deliberately infiltrated by the TISS ex professo with calculated stratagem - to obfuscate, to divert attention diversionem attentionis from pursuing the res prima, the substantive matter, precisely when you are on the verge in limine veritatis of unearthing the veracity.
By Britanicca Encyclopedia
Dah aisee kilatini chote hicho? noma sana. Sikuelewa kitu mpaka chatGPTIn Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022.
Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and amasses a plethora of followers online, ipso facto self anoints as an activist activista ex nihilo
Interdum, we egregiously abuse these digital platforms forum publicum to inculcate mendacity and feed the populus with fallacies, cum veritas the truth is already manifest and cognizant to us. Veritas manet, sed mendacium per internetum volat.
Let us utilize our pens calamus potentia est and our influence with utmost probity and sagacity!
Hodie, I observe an individual disseminating perfidious mendacity that Polepole is incarcerated at Ukonga, cum scientia certa that he is not.
Alius proclaims that Nchimbi resides in a dilapidated domicile at Lugalo, while cognizant de facto that such assertion is utterly fallacious.
Certain communiqués are deliberately infiltrated by the TISS ex professo with calculated stratagem - to obfuscate, to divert attention diversionem attentionis from pursuing the res prima, the substantive matter, precisely when you are on the verge in limine veritatis of unearthing the veracity.
By Britanicca Encyclopedia
Taratibuuu naanza kuelewa britanicca ni nani.britanicca ni mhitimu wa seminary schools za wakatoliki.
Anakipiga kilatini vibaya mno.
Bashite naomba niletee dictionary yangu.In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022.
Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and amasses a plethora of followers online, ipso facto self anoints as an activist activista ex nihilo
Interdum, we egregiously abuse these digital platforms forum publicum to inculcate mendacity and feed the populus with fallacies, cum veritas the truth is already manifest and cognizant to us. Veritas manet, sed mendacium per internetum volat.
Let us utilize our pens calamus potentia est and our influence with utmost probity and sagacity!
Hodie, I observe an individual disseminating perfidious mendacity that Polepole is incarcerated at Ukonga, cum scientia certa that he is not.
Alius proclaims that Nchimbi resides in a dilapidated domicile at Lugalo, while cognizant de facto that such assertion is utterly fallacious.
Certain communiqués are deliberately infiltrated by the TISS ex professo with calculated stratagem - to obfuscate, to divert attention diversionem attentionis from pursuing the res prima, the substantive matter, precisely when you are on the verge in limine veritatis of unearthing the veracity.
By Britanicca Encyclopedia
NamMkuu hivi ni wewe mwenye account kule x inayotumika hili jina lako? Au yule ni parody?