Ina maaana hawajafanikiwa kujisafisha pamoja kwenda kwa Papa!

Misaada imekatwa
Gentleman,
kama Sweeden kwa utashi wake ilikua inaisaidia Tanzania kwa namna yoyote ile, na sasa imeamua kutokuisaidia tena Tanzania, kwani kuana taizo gani? Msaada ni hiyari yao kutoa au kutokutoa.

In fact,
taifa fulani kuisaidia au kutokuisadia Tanzania au nchi nyingine yoyote ile duniani ni jambo la hiyari na sio lazima. Ni utashi wa nchi husika tu kuamua watakavyo.

Hakuna tatizo wala hasara kwa Tanzania, eti kwa sweeden kusita kuisaidia Tanzania huru chini ya serikali sikivu ya CCM tena inayoongozwa na mwana mama shupavu Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Wewe ndiyo unasema hakuna tatizo,lakini tatizo lipo,chukukila kwa akili yako ya CCM kama mzee juma alikuwa anakusaidia huko mtaani kwako lakini sababu ya ulevi wako mke umemfukuza halafu umepiga watoto na wengine mpaka umeo kagoma kukusaidia unasema hamna tatizo una akili wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…